HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, September 15, 2009

Pumzika Kwa Amani Ndugu Yetu Mpakanjia

Mwili wa marehemu ukiingizwa kwenye gari tayari kwa kwenda mazishini
Msafara unaanza kuelekea makaburini huku umati wa watu ukimsindikiza kwa majonzi makubwa

hii ndiyo safari ya mwisho ya rafiki,ndugu,kaka yetu ama mpendwa wetu Mpakanjia.

Wasanii mbalimbali walikuwepo katika msiba wa Mpakanjia wakiwemo hawa wa filamu,pichani shoto mwenye miwani ni Steven Kanumba akiwa na Vicent Kigossi a.k.a Ray ambaye alikuwa akichukua matukio ya kumbukumbu ya msiba huo ambao umewagusa wengi
waumini wakiuswalia mwili wa marehemu Mpakanjia leo mchana kabla ya mazishi nyumbani kwake sinza-mori,jijini dar
Mmoja wa waigizaji wa filamu ambaye pia alikuwa ni rafiki wa karibu sana na marehemu Mpakanjia,Jb pichani akizungumza machache kwa niaba ya wasanii wenzake mbele ya umati mkubwa uliofika msibani hapo mapema leo asubuhi
baadhi ya akina mama waliohudhulia katika msiba huo wakiwa katika hali ya huzuni kabisa nyumban kwa marehemu Mpakanjia mapema leo asubuhi.tunamuombea kwa Mwenyezi Mungu aiweke roho ya Marehemu Mpakanjia mahala pema peponi.AMIN.
kwa picha zaidi bofya hapa

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad