huyu msela nimegumiana nae leo mitaa ya kati,akiwa na vitendea kazi vyake ambavyo huvitumia pindi ndinga zinaposimama mitaa hiyo kwa kusubiri ruhusa ya taa.na yeye ndio anapata rizki yake kwa kuosha vioo vya magari hayo yanasimama wakati huo.
Bora nusu shali kuliko shali kamili ukaiba na wakakuchoma moto
ReplyDelete