haya majani imekuwaje yamekuja kuwekwa hapa na ili hali sehemu husika zipo inakotakiwa yapelekwe??hapa ni katika makutao ya mtaa wa Zanaki na Pramukh Swami (zamani Kisutu) nilipoikuta hali hii jioni ya leo.
No comments:
Post a Comment