mtu mzima niko mitaa ya kati kama kawa,naomba kuwachemsha bongo zenu kidogo wadau wangu,kuna anaeweza kuniambia hili daraja liko mahala gani katika jiji la Dar?
Hapa ni Ruvu tu au Salender mpy hahhah
ReplyDeletesay!
haha ahah ahah....
ReplyDeleteJaribu jaribu tuu Say labda utafanikiwa kupata jibu lake
sipo dar kama mvua kuminatano hivi lakini ninaona kama hapo ni yombo mkuu
ReplyDeleteMlalakua karibu na kambiya jeshi.bandarini kurasini.
ReplyDeleteWoote Mmekosa,ila endeleeni kujaribu jaribu huwenda kuna mmoja atafanikiwa kujua lilipo daraja hili.
ReplyDeletePamoJah Sana
hili daraja liko njia ya mbagala ,kwenye ila double road mpya !!
ReplyDeletesasa sikosi ni Post Mpya wanapoanza kujenga real ya train ya Umeme.
ReplyDeleterailway karibu na bandari kwenda kilwa road pale kwenye kampuni ya mafuta agip rail zinapoingia bandarini
ReplyDelete