HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, September 22, 2009

Misele Kama Kawa

mtu mzima niko mitaa ya kati kama kawa,naomba kuwachemsha bongo zenu kidogo wadau wangu,kuna anaeweza kuniambia hili daraja liko mahala gani katika jiji la Dar?

8 comments:

  1. Hapa ni Ruvu tu au Salender mpy hahhah



    say!

    ReplyDelete
  2. haha ahah ahah....

    Jaribu jaribu tuu Say labda utafanikiwa kupata jibu lake

    ReplyDelete
  3. sipo dar kama mvua kuminatano hivi lakini ninaona kama hapo ni yombo mkuu

    ReplyDelete
  4. Mlalakua karibu na kambiya jeshi.bandarini kurasini.

    ReplyDelete
  5. Woote Mmekosa,ila endeleeni kujaribu jaribu huwenda kuna mmoja atafanikiwa kujua lilipo daraja hili.

    PamoJah Sana

    ReplyDelete
  6. hili daraja liko njia ya mbagala ,kwenye ila double road mpya !!

    ReplyDelete
  7. sasa sikosi ni Post Mpya wanapoanza kujenga real ya train ya Umeme.

    ReplyDelete
  8. railway karibu na bandari kwenda kilwa road pale kwenye kampuni ya mafuta agip rail zinapoingia bandarini

    ReplyDelete

Post Bottom Ad