jamaa wenye asili ya Kichina wakila tizi katika viwanja vya Gyimkana leo.hawa jamaa wamefanikiwa kupata sifa kubwa sana hapa bongo,hasa kwa na wale watumiaji wa simu zinazotoka huko kwao.maana sasa hivi ukiwa na simu moja toka kwa hawa jamaa,basi unaweza kuwa memba wa mitandao miwili tofauti bila hata kuingiliana.hawa jamaa wako juu ile mbaya kwa sasa.
uwamejaaa dunia nzima wanawapunguza kwao chana
ReplyDelete