Jengo la Diamond Jubilee Building maarufu kama Azam teki awei lililopo katika makutano ya mtaa wa Jamhuri na Makunganya street,limeigwa msasa wa maana na kupigwa sop sop kimtindo ili kwenda sawa na majengo mapya yanayoendelea kujengwa kwa spidi ya ajabu hapa mjini.
hawa ni baadhi ya mafungi wanaolipiga sop sop jengo hilo.
YANAYOJENGWA BILA NAFASI ZA KUPAKI MOTOKAA
ReplyDelete