
kutokana na kuelekea katika siku ya kumbukumbu ya kufariki kwa Mwalimu Nyerere,basi nikaona si vibaya kushea na nanyi wadau kumkumbuka aliekuwa Baba wa Taifa letu hili Hayati Mwalimu J.K. Nyerere enzi za uhai wake,picha ni siku alipomtembelea Mama yake mzazi huko Butiama akiongozana na mkewe Mama Maria Nyerere
No comments:
Post a Comment