HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, September 24, 2009

Chem Chem Kama Kawa!!

Chem Chem zazidi kurindima katika barabara za mitaa ya jiji la Dar kwa sasa,maana kila kona mtaa unaokatiza ni lazima ukutane na Chem Chem kama hizi.
na zinatoa maji kweli kweli,kama zionekanavyo katika picha hizi

2 comments:

  1. Mungu katujaharia sasa kilimo kwanza itakua rahisi. usa

    ReplyDelete
  2. Basi bongo ina maji mengi chini mpaka kila sehemu yanatoka cehmchem neema hio kutoka kwa mungu, na watu wanapata tabu ya maji.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad