
gari mpya kabisa aina ya Volkswagen L1 iliyozinduliwa hivi karibuni,hapa ni inavyoonekana kwa mbele na ubavuni.

inavyoonekana kwa ubavuni.

kwa ubavuni na nyuma.

cheki kinavyoonekana kwa ndani,halafu stelingi yake iko katikati kama bajaj vile.

hapa inavyoonekana kwa nyuma na jinsi mlango wake unavyo funguka.hii ndoma inakula mtu mbili tuu,na inatembea kilometa mia kwa lita moja.sasa sijui huku kwetu hii ndinga inafaa na hizi njia zetu za lami??
No comments:
Post a Comment