
moja ya mashine zinanotumika katika ukarabati wa barabara ya Mandera rodi,likipiga kazi huku ndinga zinazotumia njia hiyo zikipita pembeni mwa barabara hiyo.

magari yanayotumia barabara ya Mandera rodi yakipita kwa upande upande katika barabara hiyo ambayo ipo katika matengenezo makubwa kwa sasa.
No comments:
Post a Comment