HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, August 22, 2009

Zege Halilalagi Hata Siku Moja

washkaji wakiendeleza libeneke lao la kuhakikisha kuwa zege halilali katika moja ya vikwangua anga vitakavyokuja kufanya mapinduzi makubwa sana dhidi ya vile vikwangua anga vya Longi Taimu.

1 comment:

  1. Wataalam wanasema zege likilala haliungiki hivyo lazima kazi iendelee hadi imalizike.

    Mama M.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad