
mmoja wa makondakta wa daladala zilizosimama hapo,alijitolea kufanya kazi ya kuongoza magari yaliyokuwa yamepigana pini kiukweli ukweli katika makutano ya Uhuru na Lumbumba strit mchana wa leo.sijui wenye kazi yao halali walikuwa wameenda kukazia swaum!!?? maana hilo goma lilichukua muda mrefu kweli kumalizika.
No comments:
Post a Comment