HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, August 26, 2009

Wabongo Bwana!!!

mabishano mengine ni ya kijinga sana wakati mwingine,sasa huyu jamaa haoni hilo nyororo alilolifunga huko kutokana na huo ubishi wake??au ndio kusema kuwa ukiwa na gari bongo basi na unakuwa ushakuwa mtemi na hakuna wa kukufanya lolote.

1 comment:

  1. Ubishi usiokuwa na akili. Hao wanapswa kuchapwa bakora.. LOL....

    Mama M

    ReplyDelete

Post Bottom Ad