mabishano mengine ni ya kijinga sana wakati mwingine,sasa huyu jamaa haoni hilo nyororo alilolifunga huko kutokana na huo ubishi wake??au ndio kusema kuwa ukiwa na gari bongo basi na unakuwa ushakuwa mtemi na hakuna wa kukufanya lolote.
Ubishi usiokuwa na akili. Hao wanapswa kuchapwa bakora.. LOL....
ReplyDeleteMama M