
eneo la Mwanjelwa linavyoonekana sasa.

hiki ndicho kituo cha Polisi kilichosalimika kuteketea kwa moto ambao ulilitekeketeza soko kuu la Mwanjelwa mjini Mbeya miaka miwili iliyopita.

baada ya kutekete kwa soko la Mwanjelwa,sasa hivi soko lilimehamishiwa katika eneo lingine lililokuwa wazi kwa miaka mingi mbele kidogo ya jengo hilo linaloendelea kujengwa kwa upande wa nyuma,mahala hapa panaitwa Kabwe.picha hizi nilipiga nilipokuwa mkoani humo siku kadhaa zilizopita.
No comments:
Post a Comment