waswahili wanasema "mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenye",hawa jamaa kazi yao ni kuzibua mifereji ya maji machafu na chemba zilizoziba na hapo walipo ndio wapo kamili gado kikazi,hawana vifaa vya maana vya kazi yao.
No comments:
Post a Comment