Mtaa wa idrisa uliopo Magomeni mapipa umeanza kutandikwa mkeka wa maana unaoanzia kituo cha daladala cha Mapipa mpaka kule Morocco hotel kama uonekanavyo pichani.
No comments:
Post a Comment