HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, August 6, 2009

Hepi Besdei Ya Kuzaliwa Ya Anko Rowena Nourdine

anko Rowena akionyesha bonge moja la tabasamu la ukweli mara maada ya kutimiza mwaka mmoja tangu kuzaliwa kwake.
anko Rowena akiwa na baba yake Nourdine,katika ka hafla kafupi ka kusherehekea besdei ya kuzaliwa kwa anko Rowena jana jioni

mie nikiwa nimembeba anko Rowena tukiwa na mkuu Nourdine ambaye ni baba wa Rowena,pamoja na baadhi ya watoto walikuja kumpa tafu mtoto mwenzao katika sherehe ya besdei kutimiza mwaka mmoja tangu kuzaliwa kwa anko Rowena jana jioni.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad