HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, August 10, 2009

Mshindi Wa Bahati Nasibu Ya Miss East Afrika Kulamba Vogue

Mkurugenzi wa Lena Event Lena Calist akizungumza na wanahabarikatika mkutano uliofanyika kwenye Hoteli ya Kilimanjaro Kempinski leowakati wa uzinduzi rasmi wa bahati nasibu ya Miss East Africa ambapogari aina ya Range Vogue Sports litashindaniwa
Mkurugenzi wa Lena Event inayoandaa Miss East Africa Lena Calistakionyesha gari aina ya Range Vogue Sport lenye thamani ya dola zaKimarekani 165.000 litakaloshindaniwa katika bahati nasibu ya MissEast Africa iatakayoanza kesho mpaka siku ya fainali ya Miss EastAfrica itakayofanyika desema 18 2009 jijini Dar es salaam,
Lena ameongeza kwamba ili kucheza bahati nasibu hiyo utatakiwa kununua tiketi kwa shilingi 1000 au kucheza kupitia simu ya mkononi kwa mitandao yote ukituma neno SHINDA kwenda namba 15567 kwa shilingi 1000 na kujipatia nafasi zaidi ya kushinda zawadi hiyo ya Gari,wenginewaliopo katika picha ni Foti Gwebe Nyirenda Mshauri wa Mauzo CMCMotors na katikati ni Miss East Africa namba mbili mwaka 2008 Annete John

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad