
mtu mzima Banana Zorro akighani kwa hisia kali sana

Mwimbaji wa Inafrika Band,Bob Ludala nae alikuwepo kumpa tafu Banana Zorro na B-Band usiku huu pale Cine Club Bichi.

Mzee Zahir Ally Zorro akiendeleza libeneke na B-Band kama kawa

Mjomba Mrisho Mpotto nae alikuwepo kumpa tafu Banana na B-Band kwa ujumla,na hapa alikuwa akighani lile shahiri lake la "Mjomba" ambapo mpaka sasa bado anatafuta nauli akipata tu,mjomba ujue utapata mgeni.


Mjomba Mrisho Mpoto,Banana Zorro na Mie tukiwa katika picha ya pamoja usiku huu pale Cine Club ambapo kila jumapili B-Band huendeleza libeneke la muziki katika kiwanja hicho.

safu ya ushambuliaji

mzee Zorro akiwa mzigoni huwaga hafanyi masihara,si mnamuona wenyewe hapo?

B-Band pia hupiga mduara kwa wapenzi wao wa muziki na hapa mduara ulikuwa ushakolea vilivyo kama unavyo picha hii.
No comments:
Post a Comment