HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, August 24, 2009

Mitaa Ya Dodoma Wiki Endi Hii

Kampasi ya chuo kikuu cha Dodoma UniversityDodoma Hotel Barabara ya kuelekea Dodoma Mjini

Ofisi za Vodacom ndani ya Mkoa wa Dom
bustani ya Nyerere Square garden iliopo katikati ya Mji wa Dodoma,inavyoonekana sasa.kiuweli mji wa Dodoma unapendeza sana.picha zote hizi zimepigwa na Mdau mkubwa wa kijiji chetu hiki aliekuwa vekesheni Mkoani Dodoma wikiendi hii.

3 comments:

  1. Ndio mkuu tumepaona makao yalipo mjengo wetu chini ya Sitta

    ReplyDelete
  2. Safi sana... Dodoma imebadilika sana kufananisha na kipindi nilichokuwepo Makutupora 1992

    ReplyDelete

Post Bottom Ad