Kampasi ya chuo kikuu cha Dodoma University
Dodoma Hotel
Barabara ya kuelekea Dodoma Mjini
Ofisi za Vodacom ndani ya Mkoa wa Dom
bustani ya Nyerere Square garden iliopo katikati ya Mji wa Dodoma,inavyoonekana sasa.kiuweli mji wa Dodoma unapendeza sana.picha zote hizi zimepigwa na Mdau mkubwa wa kijiji chetu hiki aliekuwa vekesheni Mkoani Dodoma wikiendi hii.

Ndio mkuu tumepaona makao yalipo mjengo wetu chini ya Sitta
ReplyDeleteHii imekaa sawa. Thanx alot
ReplyDeleteSafi sana... Dodoma imebadilika sana kufananisha na kipindi nilichokuwepo Makutupora 1992
ReplyDelete