HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, August 10, 2009

Mdau Nourdine Akiwa Vekesheni

Daraja la Mkapa,wilayani Rufiji

Hello Jr,


wikiendi hii nilipata bahati ya kwenda vekesheni kidogo huko kusini mwa Tanzania ,yaani mikoa ya Lindi na Mtwara.kiukweli ni kuzuri sana huko kwani kuna vitu vingi sana vya kuvutia,kimoja katiti vitutio vilivyopo huko ni huu mnara uliopo kwenye mzunguko wa raudi abauti ya mnarani ambao ulifunguliwa mnamo disemba 9,1962,ambapo alieufungua mnara huu alikuwa ni Mheshimiwa Bw. Regional Commissionel wa mkoa wa kusini kipindi hicho.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad