Hiyo inaitwa SANTURImdau MH Canada
Nashauri huyo mwenye hicho chombo aweke kwenye e-bay watu watapanda bei mtindo mmoja sio utamu wazungu wanatafuta kweli vitu kama hivi vya zamani na viko kwenye hali nzuri kama unavyokiona.
Chombo hiki ni zilipendwa kiliwasaidia wazee na babu zetu enzi za kale walikua wanaburudika sana na muziki yao utawakuta wako mbaaali.
Kinaitwa Gramophone kama sijakosea...
Hiyo inaitwa SANTURI
ReplyDeletemdau MH
Canada
Nashauri huyo mwenye hicho chombo aweke kwenye e-bay watu watapanda bei mtindo mmoja sio utamu wazungu wanatafuta kweli vitu kama hivi vya zamani na viko kwenye hali nzuri kama unavyokiona.
ReplyDeleteChombo hiki ni zilipendwa kiliwasaidia wazee na babu zetu enzi za kale walikua wanaburudika sana na muziki yao utawakuta wako mbaaali.
ReplyDeleteKinaitwa Gramophone kama sijakosea...
ReplyDelete