Leo ilikuwa ni siku ya kuzaliwa kwa mkuu Issa Michuzi ambaye aliamua kujumuika pamoja na Wadau mbali mbali waliopo ndani ya jiji la Dar katika Ftari iliyoandaliwa katika mgahawa wa cheifplide pale mtaa wa Libya street,sherehe hiyo ilifana sana tena sana.Blogu hii inampa pongezi sana mzee wa Libeneke kwa kukumbuka siku yake ya kuzaliwa na Mwenyezi Mungu amjaalie afya njema na Maisha marefu Inshaallah.

Namtakia KAKA kila la kheri katika kazi, maisha na uelimishaji, uhabarishaji na uburudishaji wake pamoja na HUDUMA nayotoa kwa jamii.
ReplyDeleteHERI YA SIKU YA KUZALIWA KAKA