wafanya biashara ndogo ndogo hapa mjini maarufu kama wamachicha,wakiwa katika shughuli zao za kila siku huku wakiwa wamejiachia vilivyo katika barabara ya ally hassan mwinyi rodi,sijui mgambo wa site huwaga wajagi huku??
"kuna sidii mpya hapa vipi nikupatie??"ndiovyo wanavyoonekana wakiongea hawa wamachinga na huyo mwenye hilo gari hapo.
No comments:
Post a Comment