Kama una miziki ya aina yoyote na unapenda tuipublish
(BYT) then no worry unaweza kuingia na kuiweka wewe mwenyewe kwenye Music Section ni rahisi sana kama ukishindwa na ungependa mp3 yako iwe bongoyetu basi unaweza kututumia kupitia email yetu ambayo ni info@bongoyetu.com
Pamoja bongoyetu daima!!
Mambo kaka mimi naitwa Lisungu kambona ninaendesha blog inaitwa k-news .com http://kambona.blogspot.com nomba unilink kwako naishi kunduchi kaka blog yako inatisha kama ya brother yako kazi njema
ReplyDeleteHamna noma wala nini mkuu mwenyewe na tupo pamoja....Hope bongoyetu ni mtambo wa kisasa!!
ReplyDelete