HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, July 3, 2009

Lena

Bibi wa Kidosi akikatiza mitaa ya Kariakoo jijini Dar es Salaam na baiskeli yake yenye alama ya ‘Learner’ (Lena) (L) ambayo inaashiria kwamba anajifunza kuendesha baiskeli hiyo. Hata hivyo haikuweza kufahamika mara moja kama mama huyo alikuwa amekata leseni hiyo ya ‘Learner’ au ni mbwembwe tu.kwa picha kibao za namna hii zama hapa

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad