kuna watu wachache sana katika maeneo yetu ya uswazz ambao wanakumbuka kujisomea kama aonekanavyo mzee huyu ambae alikutwa na kamera ya MTAA KWA MTAA akijipatia mawili matatu katika kitabu chake ambacho inaelekea anakipenda sana.wadau tukumbukuke kujisomea maana vingi vitakuwa vinatupita kama hatutapenda kujisomea.

No comments:
Post a Comment