HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, July 31, 2009

Kisutu Ya Leo

ilipokuwa stend kuu ya mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani miaka kadhaa iliyokula kona,KISUTU,kwa sasa imekuwa ni eneo la kuegeshea magari madogo kwa kulipia kama ilivyo pale Avalon.

pia katikati ya uwanja huo kuna sehemu ya dampo ya kuhifadhia taka kama ionekanavyo katika picha hii,yaani pako tambarale kupita hata kipindi kile mabasi yalipokuwa yakipaki hapa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad