HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, July 1, 2009

fukwe yetu yaanza kumeremeta

ukiangalia kwa harakaharaka unaweza sema labda ni fukwe moja hivi iliyopo huko ughaibuni,lakini ukweli ni kwa hii ni fukwe ya coco bichi nyakati za mchana siku ya wikiend.inapendeza kwa kweli yaani hadi raha.


1 comment:

  1. My Junior naomba tuwasiliane nimejitolea kukufundisha kuandika Kiswahili fasaha bureeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!(Kuleremeta)

    ReplyDelete

Post Bottom Ad