mwenzenu ndio naelekea zangu chomboni tayari kwa swafari ya bichiiiii,kwenda kuogelea.sijui wewe unaenda wapi siku ya leo?msela wangu Ndekia najua taimu hii utakuwa umembonji na mamaa maana siku kama hizi ndio zenyewe,hahah ahahaha ahahha ahahah ahahaa mwenzio ndio naenda bichi hivyo.
No comments:
Post a Comment