HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, June 16, 2009

msako wa vibaka wa jangwani

Askari wa Jeshi la Polisi (pichani) wakiwa wamewashika baadhi ya wahalifu wanaohusishwa na maswala ya ukabaji na uporaji katika eneo la Jangwani asubuhi ya leo.ikiwa ni katika msako wa kutokomeza kabisa shughuli hizo wazifanyazo vibaka hao wanaliharibu eneo hilo kwa matukio yao.wengine ni wale wanywaji wa kile kilaji haramu cha machozi ya simba a.k.a Gongozz,ambapo wengine waliingia mitini baada ya kuibumbulukia inshu hiyo.zoezi hili likiendelea kwa kipindi cha kama mwezi hivi basi naamini tutaweza kupita eneo hilo hata nyakati za usiku sana bila hata hofu.Kenny mzee wa HotSpot umeinyaka hiyooo??sasa hivi kwa bi nyau itakuwa kama unanawa vile hukabwi wala nini.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad