HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, May 12, 2009

jua kali

haya magari yaonekanayo hapa,kazi yake ni kupakia wafanya biashara ndogondogo za minadani pamoja na mizigo yao.hapa mahala panafahamika kwa jina la jua kali.eneo hilo lipo mbele kidogo tu ya eneo la soko la Mwanjelwa ambalo lililoungua miaka kadhaa iliyopita huko jijini Mbeya.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad