
nikionaga vituzz kama hizi ndipo ninapokumbuka ule wimbo wa Prof. Jay alioshirikiana na Lady Jay Dee,ule wa Bongo Dar es Salaam uliotamba sana katika miaka kadhaa iliyopita.Bongo raha jamani masihara tuondoe,na hapa ni mpaka litokee janga ndio tukumbuke kulifanyia kazi hili swala.
No comments:
Post a Comment