kuna jamaa mmoja alienda kumuona daktari katika hospital moja hivi hapa mjini mara baada kuona anasumbuliwa sana na moyo.
na mazungumzo yao yalikuwa kama ifuatavyo:
Mgonjwa: Daktari naumwa sana moyo.
Daktari: Wewe ni mpenzi wa timu gani ya mpira wa miguu?
Mgonjwa: Kwa Tanzania mimi ni shabiki wa Simba na Ulaya mimi ni mpenzi Manchester United.
Daktari: Na unafanya kazi wapi?
Mgonjwa: Nilikuwa nafanya GTV, baada ya kufa nikapata kazi Paradise Hotel Bagamoyo.
Daktari: Una akiba yoyote ya fedha benki?
Mgonjwa: Ndiyo, akiba yangu yote ya fedha ipo DECI.
Daktari: Mmmh, unaishi wapi?
Mgonjwa: Naishi Kwembe wilayani Kinondoni.
Daktari: Subiri kufa maana hakuna tiba mbadala ya maradhi yako.
huyu jamaa ulaya itakuwa ni mpenzi wa neverpool manake wana mraradhi yasiotibika mwaka wa 18 huu hawajuwi ubingwa wa primier uko wapi na mwaka huu hata kikombe cha mbuzi hakuna
ReplyDeletenani kakwambia kuwa liva mwaka huu hawapati kikome chochote??
ReplyDelete-Michuzi jr 2