Mkurugenzi wa Kamati ya Miss Tanzania Bw. Hashim Lundenga akitangaza orodha ya mawakala wa vitongoji vya mkoa wa Dar es salaam watakaoandaa mashindano ya kutafuta warembo watakaoshiriki katika kinyang'anyiro cha kumtafuta mrembo wa Tanzania kwa mwaka 2009,chini ni picha zinazoonyesha makampuni yaliyokubaliwa kuuandaa mashindano pamoja na vitongoji vyake.

No comments:
Post a Comment