HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, March 20, 2009

Mzinga Shekilango

zinga2Nambari za usajili za ndinga hiyo
zingaHii ndio tabu ta kutoka gereji na kuingiza gari barabarani bila kuhakikisha kuwa kila kitu kiko sawa,sasa ona kama hii iliyoitokea hapa Shekilango jioni hii,gari hii imekula mueleka mara baada ya kuzidiwa na mzigo wa mkubwa wa maji iliokuwa imebeba mara baada ya kuoka kufanyiwa marekebisho kidogo ya gari hiyo.zinga3hivi ndivyo ilivyokuwa hapa maeneo ya Shekilango jioni ya leo,hakuna mtu yeyote aliejeruhiwa katika ajari hii ambayo ilikula mueleka huku ikiwa imeaha palepale kishikia tairi za mbele pamoja na tairi zake.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad