HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, October 10, 2008

SP Road,Bangalore

mambo vipi mzee?

cheki picha hizi,huu ni mtaa mmoja hivi unaitwa "SP Road" ni mtaa maarufu sana wa kuuza computer na vifaa vya computer kwa bei rahisi kuliko sehemu yeyote hapa bangalore lakini uwe mjanja maana waweza kula kanyanga kama sio mjanja, hapa unapangiwa computer ya configuration unazotaka ndani ya dakika10 hata laptop assemby hapa ndani ya dakika kadhaa tu unapata kitu unachotaka.

mdau Evans
Bangalore.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad