.jpg)
.jpg)
nyundoz zazidi kupamba moto katika baadhi ya majengo yaliyopo katikati ya jiji ili kupisha majengo ya kisasa na marefu zaidi,hili jengo tayari lishafikiwa kwa ajili ya kuliwa nyundo.hii ni katika makutano ya mtaa wa indra gand strit na barabara ya morogoro rodi.lakini hii staili ya uboaji wa jengo hili sijauelewa kabisa,yaani inaanza kubomolewa chini?wataalam wa mambo haya mnaweza nisaidia kunitoa tongotongo kwa hili.
No comments:
Post a Comment