cha ajabu ni kwamba huku india kuna magari mengi zaidi ya haya na pikipiki za kutosha na watu hawaendeshagi kwenye mstari hata siku moja kila mtu huendesha anavyojiskia lakini hakunaga ajali kama hivi zaidi ya mwaka mmoja nimebahatika kuona ajali moja tu ya pikipiki

ReplyDelete