Rais Jakaya Kikwete yupo Mkoani Manyara kwa ziara ya Kikazi ya Siku sita,ambapo amekagua Miradi mbalimbali katika sekta ya kilimo,afya,maji na barabarana kuweka mawe ya msingi na kuzindua miradi kadhaa ya kiuchumi na kijamii Mkoani humo na kuzungumza na wananchi wa wilaya zote za Simanjiro, Kiteto, Babati, Hanang na Wilaya ya Mbulu kabla ya kuhitimisha ziara yake na kurejea jijini Dar es Salaam September 17
No comments:
Post a Comment