dereva wa guta akiwa kaulamba full suti ndani ya chombo chake cha kazi huku akiwa amepakia mizigo pamoja na abiria,halafu inaelekea hiyo guta itakuwa na kiyoyozi maana ni mchana wa jua kali huo.
No comments:
Post a Comment