HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, August 30, 2008

WanaFotoBaraza Wakutana Tena Leo

mimi pamoja na wanakijiji wenzangu wa kijiji cha FotoBaraza,tukiwaaga rasmi wanakijiji wenzetu ambao ni kaka Chibiriti wa kwanza kushoto,pamoja na dada Astol (tatu toka shoto)aliekuja na mai hazbendi wake anaefahamika kwa jina la Clouds (pili shoto),ndani ya kijiji cha Makumbusho.waliobaki toka kulia ni Neema,Mwakyusa,Bob Sankofa(Babukadja),Ritha(RT),Angel pamoja na Ekonjo.
WanaFotoBaraza wakipata picha ya pamoja,alieongezeka hapo kulia ni Maingu(hayupo katika picha ya juu),ndani ya kijiji Cha Makumbusho leo hii.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad