KIKAO CHA NNE CHA YATIMA WETU JUMAMOSI HII, TAREHE 30/08/2008, (ninamaanisha ni leo)PALE KIJIJI CHA MAKUMBUSHO,KUANZIA SAA NANE MCHANA (Tunamaanisha saa nane mchana ya kiukweliukweli) UNAWEZA CHEKI TAARIFA FUPI YA KIKAO CHA TATU CHA YATIMA WETU KILICHOFANYIKA TAREHE 16/08/2008,PALE KIJIJI CHA MAKUMBUSHO KWA KUBOFYA HAPA.
No comments:
Post a Comment