Mdau Evans Makundi aliyopo huko Bangalore nchini India ametutumia ujumbe huu wa mchongo wa kupiga buku nchini humo,kwa hiyo kama upo tayari waweza mtafuta kwa mawasiliano yake hapo chini baada ya kuupitia ujumbe wake alioangika kwa luhga ngumu ya kinanihii.
Indian universities admission are still open for late registration any one who wants to come to study in Bangalore,India this is your last chance if u want to a degree in here send me the copy of your certificate emakundi@gmail.com my phone number is +919739091625 . Hurry up.
Monday, August 18, 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment