habari zilizopatikana hivi punde na zakusikitisha sana,ni kwamba Rais wa Zambia,Levy Mwanawasa amefariki dunia nchini Ufaransa leo alikokwenda kwa ajili ya matibabu.kwa habari zaidi pitia hapa.na pia tutaendelea kujuzana nini kinaendelea juu ya msiba huo.
No comments:
Post a Comment