HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, August 3, 2008

Celtel Sasa Ni Zain

Meneja wa Huduma za Jamii wa Kampuni ya Zain, Tunu Kavishe (kulia) akiwaelekeza jambo kupitia simu yake ya Blackbery, Waziri Mkuu wa zamani, Dk. Salim Ahmed Salim wakati wa hafla ya kubadilisha jina la kibiashara la Celtel kuwa Zain kwenye Uwanja wa Karimjee, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Katikati ni Mwendeshaji Mkuu wa Zain Afrika Mashariki, Bashar Arafeh.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad