haya sasa ndio mapenzi ya kweli na wala si uongo,maana ili jamaa aende sawa na mai waifu wake basi ni lazima kiongeza urefu kama hicho.sasa hapo kimbembe kwenye mtoko maana mai waifu wake tolu na yeye ndio kama mimi sijui hata inakuwaje.
duuu!!! kweli hayo ni mapenzi,na kuhusu mtoko mbona izee tu,hapo jamaa inabidi avae magongo ili aweze kwenda sawa na mai waifu wake. hahaah hahaah ahaha nhaha
hivi wewe JR huwa unazitoaga wapi picha kama hizi?
duuu!!!
ReplyDeletekweli hayo ni mapenzi,na kuhusu mtoko mbona izee tu,hapo jamaa inabidi avae magongo ili aweze kwenda sawa na mai waifu wake.
hahaah hahaah ahaha nhaha
hivi wewe JR huwa unazitoaga wapi picha kama hizi?
hmmmm sa mwanaume si avae tu maviatu marefu...atakosa raha huyu.
ReplyDeleteafadhali mi na wewe tunalingana jr.